neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
WoteHabari wakuu!
Mfumo toka jana uilikuwa under maitenance sasa leo umekaa sawa, lakini sasa kila ukitaka kulog in inakataa na mimi hapa nina vijana wengi niliwafungulia account ajira portal nina email na pasward ninazo lakini zote zinagoma sijui nafanyeje simu hawapokei! Naomba mnisaidie ni mimi peke yangu au na nyinyi pia wenzangu?
Nilifikiri ni mimi tu.Habari wakuu!
Mfumo toka jana uilikuwa under maitenance sasa leo umekaa sawa, lakini sasa kila ukitaka kulog in inakataa na mimi hapa nina vijana wengi niliwafungulia account ajira portal nina email na pasward ninazo lakini zote zinagoma sijui nafanyeje simu hawapokei! Naomba mnisaidie ni mimi peke yangu au na nyinyi pia wenzangu?
Mkuu hao wanazingua, hadi mda huu bado hawajarekebisha. Na kuna kazi zimetangazwa kibao za TAFORI. sijui wanatutakia nini hao.Habari wakuu!
Mfumo toka jana uilikuwa under maitenance sasa leo umekaa sawa, lakini sasa kila ukitaka kulog in inakataa na mimi hapa nina vijana wengi niliwafungulia account ajira portal nina email na pasward ninazo lakini zote zinagoma sijui nafanyeje simu hawapokei! Naomba mnisaidie ni mimi peke yangu au na nyinyi pia wenzangu?
ajira portal ilidukuliwa na wadukuzi ila kwa sasa imetangamaaHabari wakuu!
Mfumo toka jana uilikuwa under maitenance sasa leo umekaa sawa, lakini sasa kila ukitaka kulog in inakataa na mimi hapa nina vijana wengi niliwafungulia account ajira portal nina email na pasward ninazo lakini zote zinagoma sijui nafanyeje simu hawapokei! Naomba mnisaidie ni mimi peke yangu au na nyinyi pia wenzangu?
Sasa inafungukaMkuu hao wanazingua, hadi mda huu bado hawajarekebisha. Na kuna kazi zimetangazwa kibao za TAFORI. sijui wanatutakia nini hao.
Huyu atakuwa na internet cafe anafanya biashara ya kuwaombea vijana kazi.Sijaelewa hao vijana wengi uliowafungulia wanakuhusu nini pia unasema simu hawapokei.
Baada ya kuwafungulia wakakupa kazi za kuzi manage???
ila maisha matamu sana tunawa-editia tu cv na barua elf 5 chap wanasepa zaoHuyu atakuwa na internet cafe anafanya biashara ya kuwaombea vijana kazi.
Vijana wetu siku hizi ni bure kabisa. Annafika stationery anaulizia kama Kuna CV. Hawawezi kuandaa wasifu wala barua za maombi ya kazi
Nikajua peke yangu tu ndio sijaelewaSijaelewa hao vijana wengi uliowafungulia wanakuhusu nini pia unasema simu hawapokei.
Baada ya kuwafungulia wakakupa kazi za kuzi manage???
Tafori ndiyo nnMkuu hao wanazingua, hadi mda huu bado hawajarekebisha. Na kuna kazi zimetangazwa kibao za TAFORI. sijui wanatutakia nini hao.