Ubora wao uko kwenye mapenzi kitandani tu, ila changamoto yao, ni ngumu kuishi naye mikoa mingine tofauti na dar, lindi, pwani na mtwara, kwani ni lazima aishi mikoa hiyo ambako kuna wenzake kwani kila siku ni shughuri tu, lazima ahudhurie. Ukimpeleka mbali ataishi kama yupo guantanamo prison, hivyo hawezi, kwani makabila mengine hayo hawana, pili kila leo atatakiwa kwenda kwao kuhudhuria ngoma na ni lazima, bora auze kabati apate nauli, sasa awe huko MUGUMU, kweli si utamtesa?
Kingine wao inshu ya kuachika wala haimtishi hata, kwanza kuachika sana kwao ndio anaonekana PROFESA, MWANDAMIZI, na ni sifa kwa jamii yake iliyotukuka!! Na cha mwisho wao bwana kuwa na wanaume watatu kwa wakati mmoja ni kawaida tu na hana wivu ki vile kwa mme wake. Nimeishi nao huko utete rufiji hiki ninachokiongea nakijua hasa, ila una weza jilipua tu, huwezi jua labda inaweza kuwa ndio ile %inayobakia ya kutimiza kitu kizima. 0.1.