J Junior kombe New Member Joined Aug 15, 2020 Posts 3 Reaction score 0 Jun 30, 2023 #1 Wanasalimu kwa jina la Jamuhuri, Naomba kuuliza kuna changamoto gani katika kusafirisha mazao kutokea Rukwa kwenda Dar ambapo mtu unakuwa na mzigo mdogo kama gunia 3 na sio kuzaja gari?
Wanasalimu kwa jina la Jamuhuri, Naomba kuuliza kuna changamoto gani katika kusafirisha mazao kutokea Rukwa kwenda Dar ambapo mtu unakuwa na mzigo mdogo kama gunia 3 na sio kuzaja gari?
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jun 30, 2023 #2 Hakuna Changamoto yyte. Tafuta fuso iliyojaza tayri mzigo kisha ongea n dereva anakubebea kwa maelewano yenu mpk DAR
Hakuna Changamoto yyte. Tafuta fuso iliyojaza tayri mzigo kisha ongea n dereva anakubebea kwa maelewano yenu mpk DAR