Changamoto Usafirishaji wa mazao

Changamoto Usafirishaji wa mazao

Junior kombe

New Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
3
Reaction score
0
Wanasalimu kwa jina la Jamuhuri,

Naomba kuuliza kuna changamoto gani katika kusafirisha mazao kutokea Rukwa kwenda Dar ambapo mtu unakuwa na mzigo mdogo kama gunia 3 na sio kuzaja gari?
 
Hakuna Changamoto yyte. Tafuta fuso iliyojaza tayri mzigo kisha ongea n dereva anakubebea kwa maelewano yenu mpk DAR
 
Back
Top Bottom