Star onair
Senior Member
- May 31, 2020
- 144
- 145
Duh mkuu power tiller inauwezo wa kubeba gunia kuanzia ngp?Kodi powertiller ziusombe mpk steshen upakie kwny treni
Kuanzia gunia 15 - 20 inategemea na njia na chombo yenyeweDuh mkuu power tiller inauwezo wa kubeba gunia kuanzia ngp?
Mkuu eneo ni MgetaPole kwa changamoto mkuu,unalimia wapi ili nikupe a na b kwa ukanda husika wa uluguru