Star onair
Senior Member
- May 31, 2020
- 144
- 145
Habari zenu ndugu zangu,
Ni wiki ya pili sasa nimeshindwa kutoa mzigo shambani milimani kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Wenye fuso wanagoma kwa kuogopa kudondosha gari.
Nami ni lazima nahitaji Kusafirisha haya mzao town coz bei ipo juu now.
Wenye uzoefu embu nisaidieni ushauri.