Wao AC ni baridi hata kama kuna baridi tayariSi wanaweka kutokana mazingira husika?
Ni sawa lakini wahudumu wa basi wanapashwa kuwa wanabadilisha mwenendo wa AC kulingana na sehemu gari lilipo hii husaidia kuto waumiza washitiri safarini.Sijui kwa mikoa mingine ila kama unatoka mikoa yenye barid kuelekea yenye joto kama Dar au Tanga kipupwe ni muhimu...
Kwenye kila seat kuna option ya kizima na kuwashaWatu wa mabasi bwana.
Wao concept ya AC ni baridi. Usiku wa manane anapigwa 15 degrees. Halafu unaambiwa hii full AC.π
HatariWao AC ni baridi hata kama kuna baridi tayari
Kwa mabasi haya ya kichina πππ.Kwenye kila seat kuna option ya kizima na kuwasha