Changamoto ya AC kwenye mabasi

Changamoto ya AC kwenye mabasi

Kitaalamu kila ununuapo Gari mpya toka kwa mtengenezaji au msambazaji maalumu unaposhwa kupokea baadhi ya mafunzo kwaajili ya kulitumia hilo gari. Pia wahusika wa kulitumia hilo gari hasa la kubebea washitiri wanapashwa kuwa na mafunzo kwaajili ya kuwahudumia washitiri kwaajili yakuwapa amani na furahaa ktk safari yao, hii naisema kwa kadiri ya uzoefu wangu sehemu nilizo fanyia kazi.
 
Sijui kwa mikoa mingine ila kama unatoka mikoa yenye barid kuelekea yenye joto kama Dar au Tanga kipupwe ni muhimu...
 
Sijui kwa mikoa mingine ila kama unatoka mikoa yenye barid kuelekea yenye joto kama Dar au Tanga kipupwe ni muhimu...
Ni sawa lakini wahudumu wa basi wanapashwa kuwa wanabadilisha mwenendo wa AC kulingana na sehemu gari lilipo hii husaidia kuto waumiza washitiri safarini.
 
Watu wa mabasi bwana.

Wao concept ya AC ni baridi. Usiku wa manane anapigwa 15 degrees. Halafu unaambiwa hii full AC.😀
Kwenye kila seat kuna option ya kizima na kuwasha
 
Kwenye kila seat kuna option ya kizima na kuwasha
Kwa mabasi haya ya kichina 😃😃😃.

Hata ukifunga zile vifuniko vya kutolea ubaridi bado unaendelea kupulizwa sababu ya maungio ya maplastuki hayajabana, yanapitisha hewa
 
Back
Top Bottom