Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni wanaCCM wanaogopa kumkosoa.Wamekalia kusifia tuMkuu aongee na wenzake wa East Africa tupate suluhu, kushupaza shingo mwisho wa siku itavunjika
Wanapimia hapo mpakani au wanatakiwa waje na uthibitisho kwamba wamepima?
... kwamba kwa Tanzania binadamu hawana corona; chenye corona ni mapapai, mafenesi, na mbuzi! Ha ha ha! Hii sayansi ya hali ya juu kabisa ya kitabibu hata WHO hawaoni ndani.Tanzania hakuna corona ni mabeberu tu wanataka kutuchafua. Kwa weledi mkuu wa rais wetu amepima mapapai pia yana corona.
Suluhu ya nini?Mkuu aongee na wenzake wa East Africa tupate suluhu, kushupaza shingo mwisho wa siku itavunjika
wa usalamaVizuri, hata sisi tuwazuie na tuwapime wa kutoka Kenya, wasije kutuletea Corona
Jiwe limegeuka kungwi wa kukaa ndaniMkuu aongee na wenzake wa East Africa tupate suluhu, kushupaza shingo mwisho wa siku itavunjika
nyie si mmejiaminisha kuwa Jiwe yupo huko alipo kujificha na CORONA wakati mwenzenu yupo kwenye mapango anapigwa chale mzidi kumsikiliza. SIku atakayotia maguu pale mji wa kati wa nchi kuvunja kikao cha vibaraka mtasikia cheche atakazotema na wote tutampigia makofi. Ndumba ipo na sasa hivi inadhihirika.Sijui amewapa Nini huyuu mzee at akiwaambia wavue nguo watavua tu. Nimeamini uchawi upo.
Siku hizi ameshindwa kuwa mkuu wa nchi, amekuwa zaidi mkuu wa kijiji chake. Hayo ndio madhara ya kutokuchukua hatua za kitaalamu na kupenda kufanya mambo kienyeji enyeji. Tusifanye makosa uchaguzi 2020.Mkuu aongee na wenzake wa East Africa tupate suluhu, kushupaza shingo mwisho wa siku itavunjika
Alialikwa akasema kuna tatizo la lojistiki hivyo hataweza kuhudhuria.