andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 18,773
- 119,820
Hawajazuiwa kuingia, ila utaratibu ni kupima corona kabla ya kuingia kama inavyo fanyika Mtukula na Busia. Waswahili wengi hatujui kujieleza matokeo yake tuna potosha taarifaila ukisikiliza misimamo ya viongozi wengi wa nchi za africa,hapa ndipo utajua ni kwanini hata uhuru haukupatikana kwa pamoja.
yaani mtu anazuia madereva wa tz,halafu wa nchi nyingine anaruhusu.ngozi nyeusi ina laana ya asili,ndio maana tukasema lockdown haiwezekani huku shithole.
Sent using Jamii Forums mobile app