Hawajazuiwa kuingia, ila utaratibu ni kupima corona kabla ya kuingia kama inavyo fanyika Mtukula na Busia. Waswahili wengi hatujui kujieleza matokeo yake tuna potosha taarifaila ukisikiliza misimamo ya viongozi wengi wa nchi za africa,hapa ndipo utajua ni kwanini hata uhuru haukupatikana kwa pamoja.
yaani mtu anazuia madereva wa tz,halafu wa nchi nyingine anaruhusu.ngozi nyeusi ina laana ya asili,ndio maana tukasema lockdown haiwezekani huku shithole.
Nyie watu mna matatizo ya kisaikolojia...wamezuiwa au wametakiwa wapimwe? Je sisi kwenye airports zetu tunafanyaje? Nataka nitumie neno Fulani kuwaeleza nyie wapiga kelele na waropokaji ila najizuia...Watanzania wengine ni watu wa ajabu mno...Nina hakika mngekuwepo wakati wa Vita vya kagera ni wazi mngeiuza nchi...
Kila anayeingia anapaswa kupimwa, ila it seems Baba Jurgen haongei na wenzake kujua hatua zilozochukuliwa ama zinazopaswa kuchukuliwa, so apokee simu wazoze.Suluhu ya nini?
Waingie bila kupimwa wakaambukize huko?
Kama huku hawapimwi wacha wapimiwe huko wanakoenda.
Kuna muda kulea mtoto ni jukumu la jamii sio wazazi peke yao
Tz tunajiweza hatuna haja ya kunyenyekea
Povu kamasi la nnNyie watu mna matatizo ya kisaikolojia...wamezuiwa au wametakiwa wapimwe? Je sisi kwenye airports zetu tunafanyaje? Nataka nitumie neno Fulani kuwaeleza nyie wapiga kelele na waropokaji ila najizuia...Watanzania wengine ni watu wa ajabu mno...Nina hakika mngekuwepo wakati wa Vita vya kagera ni wazi mngeiuza nchi...
Kuna watu jana wamerudi na machungwa ilikuwa wayapeleke kenya kuuza
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapima mapapai kwanzaVizuri, hata sisi tuwazuie na tuwapime wa kutoka Kenya, wasije kutuletea Corona
Hivi anashupaza shingo au uwezo wake mdogoMkuu aongee na wenzake wa East Africa tupate suluhu, kushupaza shingo mwisho wa siku itavunjika
Tanzania ni nchi ya Kwanza duniani kuitokomeza Corona Kwa njia ya maombi ya siku3Tanzania hakuna corona ni mabeberu tu wanataka kutuchafua. Kwa weledi mkuu wa rais wetu amepima mapapai pia yana corona.
Mpaka hapo hakuna tatizo kabisa! Sidhani kama kuna mtu anategemea katika mazingira ya sasa mtu ajipitie tu bila kupimwa. Hata sisi wakija kwetu madreva wa kenya na watu wengine watapimwa kwanza ndio waruhusiwe kutokana na majibu!! Ujirani mwema mpaka hapo haujapata dosari!!
tafiti walichofanya rwanda,na zambia.Hawajazuiwa kuingia, ila utaratibu ni kupima corona kabla ya kuingia kama inavyo fanyika Mtukula na Busia. Waswahili wengi hatujui kujieleza matokeo yake tuna potosha taarifa
Sent using Jamii Forums mobile app