Changamoto ya hivi vyama vya watumishi bado vinaukandamizaji

Changamoto ya hivi vyama vya watumishi bado vinaukandamizaji

Outsiders

Member
Joined
Apr 22, 2024
Posts
26
Reaction score
35
Mei mosi iko njiani ila changamoto ya hivi vyama vya watumishi bado vinaukandamizaji,, uwajibikaji usio na tija kwa viongozi wa matawi pamoja na kukata pesa watumishi kwenye mishahara yao bado kumekua na ushirikishwaji mdogo kwa wanachama,,

Tshirt zisizo na ubora,, miradi ya matawi kumilikiwa na viongozi na mingine kufa bila Faida.
 
Back
Top Bottom