Changamoto ya kuoa mwajiriwa - nini kifanyike?

Asante unakuwa na portfolio au Siyo
 
I hate to sound different ila insecurities zinaua kuliko hata realities zenyewe. Me nachoona kama ukioa la 7B na unaona it works for you, go for it na kama una corporate lady na it works for you too, go for it. Msikubali kushikiwa akili na experience za watu wengine. Kila mtu ana face realities zake at its own na kwa muda wake.
 
Sio kila mwanamke anacheza vikoba mzee. Unayokutana nayo wewe anaweza asikutane nayo mwingine. Usipende sana generalization.
Hiyo point lakini kumfikisha mwanamke it's psychological issues
 
Kweli mkuu, umenena point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…