Changamoto ya kuoa mwajiriwa - nini kifanyike?

Ukioa mfanyakazi unapata diversification of mbususu... unakuwa na uhuru wa kuzichakata muda wowote hata beki tatu akikaa sawa unapita nae kama kipanga.

Chakula kizuri utaenda kula kwa Esha Buheti.

Kuchapiwa ni hulka ya mwanamke, hata ukimlinda kama akuheshimu basi atatafunwa tu
Asante unakuwa na portfolio au Siyo
 
I hate to sound different ila insecurities zinaua kuliko hata realities zenyewe. Me nachoona kama ukioa la 7B na unaona it works for you, go for it na kama una corporate lady na it works for you too, go for it. Msikubali kushikiwa akili na experience za watu wengine. Kila mtu ana face realities zake at its own na kwa muda wake.
 
Kweli mkuu, umenena point
 
Back
Top Bottom