Changamoto ya kuoa mwajiriwa - nini kifanyike?

Huku kwenye biashara huwa tunajifunza kutoka kwa watu wengine.
Kwa staili hiili ya kuchukulia ""Matatizo ya mtu hayanihusu"" subirini KUTOMBEWA SANAAA...!!!

#YNWA
Mkuu tulikataza matumizi ya silaha za atomiki 😂
 
Anatuletea uzungu mwingi
Anazungumzia wazungu walomfilisi Emanuel Ebou na hata yule muIvory Coast kwa sheria zao kandamizi, wazungu ambao baba unaletewa mume na mwanao wa kiume anakuambia mchumba wake na wanafeel good tu.
Tuache ujinga wa kucopy eti kwa kigezo kafanya mzungu huo ni UKOLONI WA FIKRA
 
Tuna values zetu
 
Mkuu vipi kwa mfanyabiashara?? Unaona sawa wanao kunywa maziwa ya unga??
Kwenye maisha chief, hakuna kinachoshindikana, wengi wetu tunafungwa na mapokeo ya kijamii, mafundisho, kwamba mke lqzima afanye hv au vile, akifanya tofauti,ni kosa,inabidi atiwe makofi!
Kijijini kwetu zamani tulikuwa tunaambiwa, usioe binti asiyejua kufua nguo, kulima(jembe la mkono),
Leo hii, hii formula ni ya kijinga, maana kuna machine za kufua nguo, na kulima,
Kwanini unywe ya unga, na fresh yapo!?
 
Kumbe umeishi na wazungu mkui? Yani unaongelea wazungu wakati upo bara la afrika? We mwehu kweli aisee.
Kwani Afrika, hakuna wazungu? Chief! Umezaliwa wapi bro! Au mjini umekuja jana?
Wazungu wapo Moshono Arusha, Wazungu wapo Shangani Mtwara, Wazungu wapo Masaki Dar,kikubwa usiwaze kama upo zama za mawe,tupo karne 21,karne ya AI(artificial intelligence), na mapinduzi, makubwa ya sayansi, sasa wewe bado unawaza kama tupo zama za mawe za kuvaa magome! Bro unaaibisha humanity!
Huu mtazamo wako, unapenda mtoto wako wa kiume awe nao?
Je binti yako,uliyemsomesha vzr,ungependa atumiwe na njemba kama unavyowaza, aishie kubadilisha nepi, na kupiga deki tu, na usiku kupigwa pipe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…