Utaratibu ni mpaka chuo wapeleke matokeo aisee.Kabla ya kushitaki chuo, ushawahi kuwasiliana na NACTVET kujua wao wanakusaidiaje kama ukienda na vyeti vyako ? Au matokeo hayo ni lazima yapelekwe na chuo na si vinginevyo ?
Kama unaweza kupeleka mwenyewe na ukafanikisha ishu yako basi fanya hivyo badala ya kupoteza gharama na muda huko mahakamani.
Kama ni hivyo, unaweza kushtaki chuo kama itasaidia. Japo kwa upande wangu nadhani ni vema umwone Exam officer myajenge kama ni mwelewa. Shida ya mifumo yetu ni kwamba kwenda mahakamani wakati mwingine haikuhakikishii kuwa utapata haki yako. Taasisi nayo inaweza kutumia nguvu kubwa kuhakikisha chuo hakipati dosari. Lkn kama una evidence zinazojitosheleza "its okay" kwenda mahakamani.Utaratibu ni mpaka chuo wapeleke matokeo aisee.
asante kwa ushauriKama ni hivyo, unaweza kushtaki chuo kama itasaidia. Japo kwa upande wangu nadhani ni vema umwone Exam officer myajenge kama ni mwelewa. Shida ya mifumo yetu ni kwamba kwenda mahakamani wakati mwingine haikuhakikishii kuwa utapata haki yako. Taasisi nayo inaweza kutumia nguvu kubwa kuhakikisha chuo hakipati dosari. Lkn kama una evidence zinazojitosheleza "its okay" kwenda mahakamani.
asante mpaka leo nashindwa kuendelea na chuo.