A
Anonymous
Guest
Changamoto ya kutowasilishwa kwa matokeo ya NACTVET haikabili vyuo hivyo pekee. Hata katika Chuo Kikuu Huria, kuna wanafunzi ambao wamekaa zaidi ya miaka miwili bila kuwasilishiwa matokeo yao kwenye mfumo wa NACTVET.
Hata sisi tuliomaliza masomo mwaka 2025 bado hatujapatiwa matokeo hayo hadi sasa. Jambo la msingi ni kwamba kuchelewa huko hakusababishwi na kutokidhi vigezo, kwani tumekamilisha mahitaji yote muhimu ikiwemo kulipa ada zote, tumefaulu vizuri, na tayari tumepewa vyeti vyetu vya kuhitimu.
Tunaomba mamlaka husika zifuatilie suala hili ili kuhakikisha matokeo ya wanafunzi yanawasilishwa kwa wakati na kuwawezesha kuendelea na hatua nyingine za kielimu au kikazi.