R Ranafa Member Joined Jul 10, 2024 Posts 10 Reaction score 9 Jan 22, 2026 #1 Habari zenu wadau. Naomba kupatiwa dawa mujarrab ya kutibu ugonjwa wa mafua na uharo kwa kuku wa aina zote maana kwangu hili tatizo lishakuwa sugu. Muwe na siku njema
Habari zenu wadau. Naomba kupatiwa dawa mujarrab ya kutibu ugonjwa wa mafua na uharo kwa kuku wa aina zote maana kwangu hili tatizo lishakuwa sugu. Muwe na siku njema
al1 JF-Expert Member Joined Mar 2, 2024 Posts 1,360 Reaction score 2,696 Jan 23, 2026 #2 Tylosin Kwa mafua.
Mnanje Boy JF-Expert Member Joined Jan 20, 2018 Posts 454 Reaction score 1,413 Jan 23, 2026 #3 Mafua unaweza tumia dawa Moja wapo kati ya izi Ashienro 10% Fluban Noflox Gold Respostim Kuhara Conrivet powder Noflox Gold Pia jitaidi kufanya usafi mara Kwa mara maana mafua na kuhara inamaanisha kuku wako wapo kwenye mazingira machafu
Mafua unaweza tumia dawa Moja wapo kati ya izi Ashienro 10% Fluban Noflox Gold Respostim Kuhara Conrivet powder Noflox Gold Pia jitaidi kufanya usafi mara Kwa mara maana mafua na kuhara inamaanisha kuku wako wapo kwenye mazingira machafu
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Jan 23, 2026 #4 al1 said: Tylosin Kwa mafua. Click to expand... sulfa kwa uharo