Changamoto ya Sisimizi wekundu Ndani ya Nyumba

Ulisikia wapi kuangamiza viumbe wasio na hatia?

Acha kumwaga sukari na usafishe nyumba watahama wenyewe.
Hayajawahi kukuta

Mimi nilikua mhanga wa hao sisimizi nilitafta akheri powder aah sikuona hata mmoja akikatiza hawatokani na kumwaga sukari wala kuweka mazingira ktk hali ya uchafu tena nikaapo wanatoka chini unaona mshororo mrefu mwekundu wa hao wadudu wanakera mno na wanag'ata
 

Mkuu si unaishi ghorofa ya Saba, walifika huko??
 

Kwani wakikukuta wewe tu basi inatosha kuaminisha watu kuwa hawafuati uchafu!!
 
Tafuta dawa. Lakini quick fix wakitokea tu weka ganda la tango....menye tango halafu weka kipande cha ganda wanapotokea. Wanakimbia wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…