KERO Changamoto ya ufuatiliaji na ulipaji wa stahiki za watumishi Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba

KERO Changamoto ya ufuatiliaji na ulipaji wa stahiki za watumishi Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba kuna changamoto ya ufatiliaji na ulipaji wa stahiki za watumishi hasa Fedha za likizo na malimbikizo ya mishahara.

Ukifatilia kwa maafisa utumishi wanakuambia jaza fomu maalumu(unajaza) pamoja na barua za maombi lakini hayafanyiwi kazi tunapata changamoto tusaidiwe.
 
Back
Top Bottom