Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi kabisa. Waweke na Solar kabisa ikibidi...Wakisoma Risala mbele ya Raisi uongozi wa Shule ya sekondari Benjamin Mkapa wamemweleza Rais kuwa imebidi wanunue Generator sababu ya umeme Tanesco kukatika katika mara kwa mara
TANESCO Mungu anawaona mjue
Anasoma QT, alifeli form 4Rais anafanya nini huko Mkapa Sekondari?
Acha utan basAnasoma QT, alifeli form 4
Ngoja niwatajeUmeme ni adui wa nne wa taifa!
Tuliambiwa ni chagamoto ya siku 10 kumbe ni miaka 10 hatukuelewaWakisoma Risala mbele ya Rais uongozi wa Shule ya sekondari Benjamin Mkapa wamemweleza Rais kuwa imebidi wanunue Generator sababu ya umeme Tanesco kukatika katika mara kwa mara.
TANESCO Mungu anawaona mjue.
Kuna shida gan taasisi kubwa Kama hyo kununua jenereta, hospital ngapi zinajenerta, au ofisi nyingi tu za serikal zinajenerta. Ningeshangaa kma wasingekuwa na plan B ya kupta nishati na kutegemea tanesco Moja Kwa mojaWakisoma Risala mbele ya Rais uongozi wa Shule ya sekondari Benjamin Mkapa wamemweleza Rais kuwa imebidi wanunue Generator sababu ya umeme Tanesco kukatika katika mara kwa mara.
TANESCO Mungu anawaona mjue.
Taabu ya vikarani vya serikalini havijui biashara hata huendeshwajeKuna shida gan taasisi kubwa Kama hyo kununua jenereta, hospital ngapi zinajenerta, au ofisi nyingi tu za serikal zinajenerta. Ningeshangaa kma wasingekuwa na plan B ya kupta nishati na kutegemea tanesco Moja Kwa moja
Umefumua Mshono Wa Serikali Yaani Umeua Bila KukusudiaTuliambiwa ni chagamoto ya siku 10 kumbe ni miaka 10 hatukuelewa
Aibu snUmefumua Mshono Wa Serikali Yaani Umeua Bila Kukusudia
Haa!!
Mbna umenga'aka sana ndugu.. Kwan wanatumia Moja kwa Moja... Ubaya uko wapi Kama iko stand by tu.Taabu ya vikarani vya serikalini havijui biashara hata huendeshwaje
Hujui kama inaongeza gharama za kufanya biashara? Hujui kuwa hata kodi itashuka sababu ya gharama za jenereta inayotumia mafuta? Sababu hizo gharama zitahesabika kama gharama za uendeshaji hivyo mwisho wa siku si tu mfanyabiashara ataumia bali hata TRA watakusanya kidogo sababu expenditure ziko juu na product zitakazozalishwa zitakuwa juu kushindwa kuuzika sokoni na kushindwa kushindwa na bidhaa toka nje ambako umeme haukatiki
Nyie vikarani serikalini hamuelewi kabisa nini kinaendelea kwenye dunia hopeless kabisa
Unaongelea ohh plan B hopeless unajua impact yake kwenye economy? Hospitali gharama za matibabu zitakuwa juu,Shule Ada zitakuwa juu nk sababu ya gharama za uendeshaji kupanda kupitia hiyo mijenereta
HAKUNA NI UREFU WA KAMBA NA UMEME TU BASI!Ngoja niwataje
Umaskini,ujinga,maradhi na Umeme
Hapo kwa mpangilio adui wa kwanza anatakiwa kuwa umeme wa Tanesco kwa sababu umeme unasababisha umaskini sababu watu wanahitaji umeme kwa shughuli zao za kiuchumi na biashara na uzalishaji viwandani, Tanesco inasababisha ujinga sababu watoto na wanavyo hawawezi soma kwa komputa au projector sababu ya umeme,
Tanesco pia wanasababisha maradhi kama Pressure nk sababu fikiria una order za wateja kiwandani zina deadline halafu unakatika au unaweka vyakula vya kuuza kwenye Fridge halafu umeme unakatika vyote vinaoza na pesa ya kununua ulikopa Vikoba au Pride au watu wanataka soda baridi umeme unakatika huuzi wanakutia hasara fremu umepanga mauzo sifuri ya soda zako baridi Pressure lazima ije
Pia siku hizo kuna zile repellant dawa za mbu ambazo zinatumia umeme kusambaratisha mbu ina maana wakikata umeme mbu wanakuvamia unapata malaria .
TANESCO pia inasababibisha vifo chukulia uko vyumba cha operation halafu umeme unakatika
Tanesco wanechangia sana kwenye hao maadui watatu yaani umaskini,ujinga na maradhi
Ni vizuri kila taasisi ya umma ijitathimini inatatuaje changamoto za maadui hao watatu umaskini,ujinga na maradhi