Changamoto ya Umeme yailazimu Sekondari Ya Benjamin Mkapa kununua jenereta

Changamoto ya Umeme yailazimu Sekondari Ya Benjamin Mkapa kununua jenereta

Mbna umenga'aka sana ndugu.. Kwan wanatumia Moja kwa Moja... Ubaya uko wapi Kama iko stand by tu.
Issue cost unajua Generator standby la kuendesha taasisi, au kiwanda au mgodi,au shule au hospital bei yake ? Na gharama za mafuta na maintenance yake?
Au wewe unawaza vile vigenereta video vya majumbani na vya kuonyeshea video uswahilini?
 
Mbna umenga'aka sana ndugu.. Kwan wanatumia Moja kwa Moja... Ubaya uko wapi Kama iko stand by tu.
Anyway nashindwa hata nianzie wapi kukujibu kiwanda cha Dangote cement au mgodi wanunue standby Generator si unajua umeme unaohitajika kuendesha mitambo yao waweza kuwasha mkoa mzima na na cost yake kununua hiyo standby Generator sio ya kitoto

Unadhani ni vile vigenereta vinavyouzwa maduka ya vifaa vya umeme uswahilini? Akili huna
Eti ohhh wanunue standby Generator
 
Endelea kupanic ndugu... Tatizo la umeme si la Leo Wala Jana ndugu. Nenda specific tunaonglea hio Shule hapo... Na si Zaid. Leo Hii taasisi ngpi za serikal kubwa zotë zina standby generator. Inshu yaviwanda ni tofauti usitake kuchanganya Mambo. Kma umeme hamna production hamna. Hkn anayepinga kama umeme hamna jenereta ni gharama hasa Kwa zama hizi.
 
Back
Top Bottom