kussy
JF-Expert Member
- Jun 15, 2010
- 406
- 124
Habari Wadau!
Kuna changamoto nimeiona hapa nyumbani kwangu nisipotumia vitu kwa muda mrefu especially viatu vinakuwa na vumbi fulani jeupe, hata nguo zisizovaliwa kwa muda mrefu zinakuwa na harufu fulani ya vumbi.
Hii inaweza kuwa inasababishwa na nini Wadau?