Kuna changamoto nimeiona hapa nyumbani kwangu nisipotumia vitu kwa muda mrefu especially viatu vinakuwa na vumbi fulani jeupe, hata nguo zisizovaliwa kwa muda mrefu zinakuwa na harufu fulani ya vumbi.
Vumbi hupitia madirishani, usipofunga, kama huna madirisha ya aluminium/vioo ndio huingia kwa wingi, pia maeneo karibu na barsbata ya vumbi, au vumbi linalotimiliwa uani eakofagia