A Anonymous Guest Oct 23, 2024 #1 Kumekuwepo na changamoto kwa wahitimu kukataliwa kutuma maombi ya ajira kwa kupitia ajira portal. Swali je wahitimu hawa wametelekezwa katika ajira au hawana vigezo, tumaomba ufafanuzi kutoka secretariat ya ajira na utumishi
Kumekuwepo na changamoto kwa wahitimu kukataliwa kutuma maombi ya ajira kwa kupitia ajira portal. Swali je wahitimu hawa wametelekezwa katika ajira au hawana vigezo, tumaomba ufafanuzi kutoka secretariat ya ajira na utumishi