Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mishahara yao ya kawaida tu, maana Ni TSG ETop Tier wa makampuni ya Ujenzi kwa sasa ndio hao
😁😁😁😁Hapo kimemo sidhani kama zipo, kumbuka anayesaili hapo ni sekretalieti ya ajira, hakuna upendeleo mwenye haki yake atapita tu
Wakuu hiki kitu kinakatisha tamaa na kinatisha sana.
Sijui serikali inaliona hili jambo na ina mipango gani ya haraka itusaide tutoke huku tulipo.
Maana tunapoelekea hili ni bomu linaendelea kujitengeneza.
TBA wametangaza majina ya vijana walioitwa kwenye usaili wa kazi mechanical engineer watu 280 nafasi mtu mmoja t anahitajika.
Yani probapility ni 0.001 kwa kila mtu, kiukweli inakatisha tamaa sana.
Serikali inabidi ituangalie na sie wakada hii ya uhandisi hali ni mbaya kwakweli. Hapo mtu unaenda kwenye usaili kichwa kinawaza vitu vingi sana hamna tumaini
Kifupi unakuwa ushafeli teyari.
Jifunze vitu vingi ili kwenye mchujo na oral uwakimbize wenzako mwisho ni kumtanguliza sir god kwa kila jambo.
Heeee!!! Ndio unajidanganya hivyo?!! Polee sana!!Hapo kimemo sidhani kama zipo, kumbuka anayesaili hapo ni sekretalieti ya ajira, hakuna upendeleo mwenye haki yake atapita tu
[emoji16][emoji16][emoji16] tuliosoma Propability tunasema probability never exceed one 1 so hapo ni sawa kabisa
Never exceeds. Jifunze kingereza
Kijana usiwaze kuhusu upendeleo,, Mimi nimefanya oral Kama 3 ya nne nimekuta jina langu , HAKUNA UPENDELEO , OMBA MUNGUKama Mungu ana taifa lake teule,sembuse Sektarieti ya Ajira?
Upendeleo ni suala lisilo epukika!