nashukuru mkuu kwa kujali kwa hilo, nimeona hizo picha ulizotuma mkuu ila yeye ameanza kuweka advanced driving certificate alafu akafuata Ordinary level ceftificate basi hapo ni upande wa academic qualificationHapana tunalimaliza hapahapa jamvini kaka. Mdogo mdogo tu ila ustoke online coz nimetenga muda wangu kwa ajili yako kiongozi.
ok hapo nimeattach vizuri kabisa, tatizo hapo kulia kwenye programme category natakiwa kuchagua nini?Hapo kwenye duara jekundu ndio unatakiwa ku-attach basic certificate, VIP certificate, etc
Umeweka cheti cha basic kikakataa mkuu...?
nipo kiongozi sijaenda popoteNaona umepotea kiongozi...!
Kwa mimi sina utalaamu na driving, ila naona sehemu ya kujaza mambo ya driving sio hapo. Hiyo ni Academic qualifications
ok hapo nimeattach vizuri kabisa, tatizo hapo kulia kwenye programme category natakiwa kuchagua nini?
Ivi mm mfano nimepiga bachelor in logistics....ila pia nina chet cha driving nilichosoma mtaani tuu sio veta na nina licence. Nikiweka kweny professional taarifa za udereva kwanza naatach chet cha driving au driving licence?? Pili je natambulika kama ni professional driver au natambulika kama logistics n transport officer??Kuna 1. Academic qualifications, 2. Professional qualifications, 3. Working and Training Experience. Hapo ni vitu kama vinaendana ila ni tofauti.
Kwenye udereva sehemu yake ni hiyo Professional qualifications. Hapo ndo utakuta maelezo na ukiweka gamba linakubali mkuu.
ok mkuuChagua HR
ok mkuu ngoja niingize kwanza harafu ntakupa mrejeshoNmejaribu kuangalia kwa makini na kuhusisha kada ya udereva na hiyo part. Nimeona zinapatana kabisa. Mfano Country itakuta Tanzania, kwenye institution name (Driving) zipo VETA na NIT Na hiyo ndo zina tambuliwa zaidi kiserikali katika masuala ya udereva.
Kwenye course name kuna Driving license na professional driving. Kwa maoni yangu hapo ni vitu viwili tofauti. Driving license simple tu, ila professional driving we umeenda mbali zaidi yani una either VIP, PSV au zingine.
Muda ulioanza na uliomaliza una weka gamba lako unasave. Kwa mi ndo nimeelewa hapo ndo sehemu sahihi.View attachment 1531923
Ivi mm mfano nimepiga bachelor in logistics....ila pia nina chet cha driving nilichosoma mtaani tuu sio veta na nina licence. Nikiweka kweny professional taarifa za udereva kwanza naatach chet cha driving au driving licence?? Pili je natambulika kama ni professional driver au natambulika kama logistics n transport officer??
Nawaza kua isije kua naonekana nimebobea kwenye driving kumbe mm driving ni minor tuu kwaajili ya kujazia CV yangu ya career yangu ya logistics n transport officer.
Naomba majibu sorry kwa muandiko mbayaa.
Mkuu umetisha sana lakini kuna sehemu ya kujaza gpa sasa tunatunga yoyote au inakuwajeProgram name weka basic driving course. Imeisha hiyo.
Mkuu umetisha sana lakini kuna sehemu ya kujaza gpa sasa tunatunga yoyote au inakuwaje
mkuu safi sana nimejaza pale HR ikanipa basic driving course nikachagua vizuri tu ila sasa imeleta option ya GPA hapo tunajaza nini wakati hicho cheti cha basic driving certificate hakina GPANmejaribu kuangalia kwa makini na kuhusisha kada ya udereva na hiyo part. Nimeona zinapatana kabisa. Mfano Country itakuta Tanzania, kwenye institution name (Driving) zipo VETA na NIT Na hiyo ndo zina tambuliwa zaidi kiserikali katika masuala ya udereva.
Kwenye course name kuna Driving license na professional driving. Kwa maoni yangu hapo ni vitu viwili tofauti. Driving license simple tu, ila professional driving we umeenda mbali zaidi yani una either VIP, PSV au zingine.
Muda ulioanza na uliomaliza una weka gamba lako unasave. Kwa mi ndo nimeelewa hapo ndo sehemu sahihi.View attachment 1531923
mkuu safi sana nimejaza pale HR ikanipa basic driving course nikachagua vizuri tu ila sasa imeleta option ya GPA hapo tunajaza nini wakati hicho cheti cha basic driving certificate hakina GPA
Mkuu ubarikiwe sana imekubali aisee asante sana mkuu imekubali vizuri tu.Mkuu fuata maelekezo nimekwambia jaribu ku-apply uone itakuletea msg gani kaka.
Mkuu ubarikiwe sana imekubali aisee asante sana mkuu imekubali vizuri tu.
Mkuu nakushukuru sana kwa mchango wako nimefanikiwa imekaa vizuriKwa mimi sina utalaamu na driving, ila naona sehemu ya kujaza mambo ya driving sio hapo. Hiyo ni Academic qualifications
amina sana kaka tusichoke kusaidiana kaka.Jumapili njema kaka...! Amina.