Nmejaribu kuangalia kwa makini na kuhusisha kada ya udereva na hiyo part. Nimeona zinapatana kabisa. Mfano Country itakuta Tanzania, kwenye institution name (Driving) zipo VETA na NIT Na hiyo ndo zina tambuliwa zaidi kiserikali katika masuala ya udereva.
Kwenye course name kuna Driving license na professional driving. Kwa maoni yangu hapo ni vitu viwili tofauti. Driving license simple tu, ila professional driving we umeenda mbali zaidi yani una either VIP, PSV au zingine.
Muda ulioanza na uliomaliza una weka gamba lako unasave. Kwa mi ndo nimeelewa hapo ndo sehemu sahihi.
View attachment 1531923