Wakuu, kuhusu ku-attach certificate imekubali nadhani ishu ilikuwa ni mtandao unazngua
Ila naomba msaada wenu kwenye maswal yafuatayo, Natanguliza shukrani kwa atakaye yajibu [emoji120][emoji120][emoji120]
1: recommendation letter ni kitu gani na inajazwa vipi.? Pia tofauti ya recommendation letter na application letter ni nini.?
2: sijaona sehemu pa ku-attach applications letter, ni wapi inatakiwa iwekwe.? Pia h application letter inaandikwa Kwa mkono kisha una-scan au una-typ.?
3: sijaona sehemu pa kuweka passport size, je inawekwa wapi.?
4: wakati na-attach vyeti kuna kitu sijakielewa, 'verification certificate' ni nini na inatakiwa kujazwa vipi.?
5: wakati naweka transcript bahati mbaya nikaweka mara mbili, hii haiwezi kuniharibia.?
Samahani sana kwa maswali mengi ila naomba msaada wenu wakuu mwenye kufahamu hayo mambo [emoji120][emoji120][emoji120]