Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyoweka namba ya nida. Taarifa zako za nida zilitokea automatically, majina matatu, tarehe na mwaka wa kuzaliwa,?? Kama hayakutokea hiyo NIN bado haijaingiaWakuu na mm nina shida hii, kila nikitaka kuomba kazi hii error ya kwamba sija update namba ya nida inakuja wakat niliweka namb ya nida na ikasema updated successfully, na nimeludia Zaid ya mara tano au profile lazim iwe complete 100% ndo nilihusiwe kuomba?
View attachment 1695318
Hakikisha nafasi unayoomba ndio ileile katika categorises zilizowekwa usije ukaweka equivalent qualification system haitokubali, mfano wewe umesoma transport and logistics unaomba procurement and logistics itagomaNi nafasi ya kazi kwa level ya degree ya procurement and logistics management.
Shida ni kwamba kozi iliotajwa kama requirement haiendani na yako, Mfano wakitaka "Bachelors in Accounting" wewe ya kwako ikawa "Bachelors in Accounting & Finance" lazma ikugomee!Hii changamoto hata mm inanikuta, inaandika hivi hivi sijajua shida nn apo
Hazikutokea mkuu, namba yangu ya nida imekosew jina la katkat inawez kuwa Tatzo?Ulivyoweka namba ya nida. Taarifa zako za nida zilitokea automatically, majina matatu, tarehe na mwaka wa kuzaliwa,?? Kama hayakutokea hiyo NIN bado haijaingia
Ukifingua kwenye personal details lazima ukute taarifa za nida ,usipozikuta tafuta kifaa kizuri chenye internet 4g upload tena, usitumie tecno utakomaa[emoji23][emoji23]Hazikutokea mkuu, namba yangu ya nida imekosew jina la katkat inawez kuwa Tatzo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu situmii tecno, ila kwa ushauri wako tu nitajaribu kubadili device labda ndo shida, thanksUkifingua kwenye personal details lazima ukute taarifa za nida ,usipozikuta tafuta kifaa kizuri chenye internet 4g upload tena, usitumie tecno utakomaa[emoji23][emoji23]View attachment 1695737
Aah sawaQualifications haziendani na unachoomba
Shukrani sanaQualifications haziendani na kzi anayoomba.
Nenda tena kaedit vizuri ila hakikisha unachoomba kinaendana na walicholitangaza.
Kazi ya bachelor wewe unaweka masters itagoma
Poa poa mkuuAngalia kwny spam utaikuta kama haipo ingia kwny search box ukiwa kwny email yako search "ajira poratal" utaipata tu
Shukran kiongozitumia email nyengine
AhsanteFanya kama uliyesahau password.
Yeah kijana achungulie kwenye spam, kwa sababu muda mwingine wakituma uactivate inaingia huko.Angalia kwny spam utaikuta kama haipo ingia kwny search box ukiwa kwny email yako search "ajira poratal" utaipata tu
Ndio upeo wao hapo watu wa IT umeishia hapo lkn ina wanyima watu nafasiShida ni kwamba kozi iliotajwa kama requirement haiendani na yako, Mfano wakitaka "Bachelors in Accounting" wewe ya kwako ikawa "Bachelors in Accounting & Finance" lazma ikugomee!...