Habarini wana jamvi
Mimi ni mjasiriamali ambae bado nachipua nina project ambazo ni startups lakini katika baadhi ya project izo kuna tatizo ambalo lmenitesa sana lakin bado sjapatua ufumbuzi.
Swala la vifungashio limekua ndo sababu inayonkwamisha plz kama kuna yeyote anaeweza kunielekeza napoweza pata pakiti kama za biscuits za benten(size and material) anisaidie, nipo mwanza,.
Sido mwanza nimefika ila wameshindwa kunitatulia tatizo(hazipo)