Changamoto za biashara ndogo ndogo

Changamoto za biashara ndogo ndogo

Elias Bihemo

Member
Joined
Jul 4, 2017
Posts
22
Reaction score
8
Habarini wana jamvi
Mimi ni mjasiriamali ambae bado nachipua nina project ambazo ni startups lakini katika baadhi ya project izo kuna tatizo ambalo lmenitesa sana lakin bado sjapatua ufumbuzi.

Swala la vifungashio limekua ndo sababu inayonkwamisha plz kama kuna yeyote anaeweza kunielekeza napoweza pata pakiti kama za biscuits za benten(size and material) anisaidie, nipo mwanza,.

Sido mwanza nimefika ila wameshindwa kunitatulia tatizo(hazipo)
 
Nadhani, hilo ni suala la kumeet na makampuni yanayojiusisha na utengenezaji wa vifungashio. Mfano jamanaprinters
 
Ila pia unaweza ukawatumia wafanyabiashara wa vifungashio, wanaofanyia shughuri zao Dar Es Salaam-kariakoo, ili wakupatie chanell zaidi.
 
Back
Top Bottom