Hiki la kelele aluminium windows pia zinasaidia sana♦️ Wamiliki wengi wa nyumba za wageni, hawasimamii ipasavyo, ukarabati wao wanawaza makusanyo tuu
♦️ Wafanyakazi wa usafi ni wa sanii wa kubwa na utaligundua pale ukichukua chumba mfululizo zaidi ya siku moja, shuka wanazirudia zile zile
♦️ Nyumba za kulala zinatakiwa zitengenezewe sound proof. Kuna mafirauni , madeva , wafanyakazi wanaokwenda semini, kazi yao ni kubeba magumegume yaliyokubuhu, ili ku justify fedha nyingi yanakuwa yanapiga kelele kama mashetani usiku kucha, sasa kama upo safarini umepumzika kwa uchovu utakoma usiku ule.sauti yote inaishia kwako
Ukiwa na nyumba ya wageni reception lazima uwe na condoms za kuuza kama huna vending machine. Wateja wengine wanatafuta condom saa nane usiku.Baadhi ya nyumba za wageni hutumika kama madanguro, unaingia huko ndani unanusa harufu za kondomu tu yaani hadi unakereka
Ni vizuri sana kwa wenye hizi nyumba kununua washing machine. Kuna jamaa alikuwa anafanya kazi ya kufua shuka za nyumba ya kulala wageni kwa mikono aliniambia kuna changamoto sana. Washing mashine itasaidia hata usafi wa matandiko uwe wa hali ya juu muda wote.Ukiwa na nyumba ya wageni reception lazima uwe na condoms za kuuza kama huna vending machine. Wateja wengine wanatafuta condom saa nane usiku.
Kila baada ya miezi sita nunua shuka angalau 100 kama si 200.Ni vizuri sana kwa wenye hizi nyumba kununua washing machine. Kuna jamaa alikuwa anafanya kazi ya kufua shuka za nyumba ya kulala wageni kwa mikono aliniambia kuna changamoto sana. Washing mashine itasaidia hata usafi wa matandiko uwe wa hali ya juu muda wote.