EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Hawa jamaa unawachukuliaje hapo ofisini kwako? unawaona kama Viranja wanoko?
wanakufuatilia saana maisha yako?
Ila kumbuka kazi zao sometimes zinawafunga kwa kuwa mambo mengine ni maagizo ya Mwajiri. Kama ilivyokuwa kwa Mahakama na Polisi enzi za awamu ya 5
tupe uzoefu wa kazini kwako kuhusu hawa watu na namna unavyo-cope nao ili maisha yaendelee