Changamoto za Kunywa Vilevi Mitandaoni: Hatari ya Tonie Professor

NIKIUMWA SINA HELA MPAKA NYUMBANI
Jamaa kanifurahisha alipomaliza kunywa Value sio km alivyokua anaifungua alivyomaliza moto ulipokua unawaka tumboni ndio akajua mzigo alioubeba sio mdogo ni mzito sana, halafu jamaa bado damu mbichi na damu ikiwa mbichi mbichi ndio inapenda sana pombe maana yake mwili wake bado sana haujajaa pombe ya kutosha
 
Huyu angekutana na viroba vya mwaka 2010 aisee angetoboka utumbo
 
Huyo bado damu yake haijajaa pombe sana tumpe muda, meza anayoitisha ina vinywaji vya gharama kuna pombe moja ya kichina ndani ina nge na nyoka mwenye sumu kali akifika level hizo za kunywa pombe za namna hio nitampa nyota 1 ya kuanzia
 
Mkuu 😃 unazungumzia Baijiu? Unataka kijana wetu apangawe?
 
Yeah hizo level ukifika unakabidhiwa nyota yako 1 ya hisani maana umeruka kiunzi kirefu sana
Duuh 😃 yaani hizo pombe pamoja na Shejiu wanaweka cobra wawili ndani humo pamoja na ng'e aisee utashangaa kimba kinatoka pasipo kuelewa 😃
 
Mpelekeeni jamaa mpeni ule mtungi mkubwa mwambieni aumalize wote kisha tusubirie maelezo ya ziada baada ya hapo
 
Dah siku zinakimbia sana, nimemfundisha huyu muungwana hisabati darasa la pili
 
Mpelekeeni jamaa mpeni ule mtungi mkubwa mwambieni aumalize wote kisha tusubirie maelezo ya ziada baada ya hapo
Atazima hapo hapo ile ngoma ni hatari balaa
 
Huyu dogo zile sio pombe ni maji anachanganya. Anasema akiitwa interview hua anafanya kweli make ni mnywaji.
Ila hizo chalenj mtaani ni uongo. Huyu dogo ni winga na boda kariakoo. Ni mtu wa tukuyu ushirika dar kaja tafuta maisha tu.
 
Amfuatilie amsikilize Prof Jay...
Amfuatilie Jose Chameleon...

Hao pasipo kuwa na umaarufu na wamezungukwa na watu wenye uwezo ilikuwa R I P.
 
Huyu dogo zile sio pombe ni maji anachanganya. Anasema akiitwa interview hua anafanya kweli make ni mnywaji.
Ila hizo chalenj mtaani ni uongo. Huyu dogo ni winga na boda kariakoo. Ni mtu wa tukuyu ushirika dar kaja tafuta maisha tu.
Tukuyu is loading.........
 
Huyu dogo zile sio pombe ni maji anachanganya. Anasema akiitwa interview hua anafanya kweli make ni mnywaji.
Ila hizo chalenj mtaani ni uongo. Huyu dogo ni winga na boda kariakoo. Ni mtu wa tukuyu ushirika dar kaja tafuta maisha tu.
Mbona anafungua seal hapo?
 
Back
Top Bottom