Changamoto za mahusiano naomba ushauri

Changamoto za mahusiano naomba ushauri

Kuna movie inaitwa bad Samaritan ni Kali sana.
Anyway mapenzi ni maisha hapo hakuna ushauri we tulia jifunze kile dunia inataka kukufundisha sio Kila kitu lazima ushauriwe au uvuke salama pengine we ndie mfano wa kitakachotokea SA si tutajifunza
Nb:usiache kwenda harusini ukialikwa
 
Unapenda? Sema ukweli wako

Calculator za Yanga zenyewe zinasema kweli
 
Mtafute jamaa, mrudishie mahari yake alafu muoe wewe
 
Habari za wakati huu jamani. Mimi ninachangamoto moja ninapendwa na mwanamke ambae tayali kwao amesha tolewa posa na huyo mwanamke hataki kuniacha.
Naombeni ushauri wadau.
Huwezi pata ushauri hapa, because hatuwezi pata detailed account ya mahusano yenu, so just use your common sense kufikia maamuzi sahihi
 
Samia ndio anawachonganisha mbowe na Lisu
 
Back
Top Bottom