Changamoto za monetization kwa wamiliki wa app

Unapata wapi nguvu ya ku develop app bila kujua monetization?

Kabla ya kuanaza project mpya hakikisha unajua jinsi ya kufanyia monetization kabla au baada ya kuwa kwenye production
 
Monetization ni admob kupitia ads changamoto ni Userbase Ndogo unahitaji userbase kubwa sana kuanzia 50K ili uvune maokoto yao ila kuwapata hao watu 50k Ndio balaa
 
Na hawa mpaka app iwe na contents za kiingereza. App nyingi za Tz hazijakidhi hivi vigezo. Mbadala wao ni upi?
 
Mbadala ni huohuo Localization..Yani App yako iwe ma Lugja mbalimbali Mfano App zangu zonalugha karibia zooote..Hata hiyo bado haisaidii ukitaka user wa karaka Lipia ads
 
Back
Top Bottom