Changamoto za Ndoa: Kufungua Mlango Mpya au Kuendelea na Safari ya Majaribu?

Changamoto za Ndoa: Kufungua Mlango Mpya au Kuendelea na Safari ya Majaribu?

36 vs 19 mbona gape kubwa sana, au ndio wanaume hawazeeki? Fast forward 8yrs jamaa yupo 44 vs 27 bado tu wameganda kwa kaka? Mbona huyo mwamba ni mtu mzima sana kuganda kwa kaka? Ama mimi ndio sijaelewa!!
Very hard to take.

Labda ni familia za kihindi.

Hapa dsm jinsi maisha yalivyo hii ni ngumu.
 
Kuna siku ulinijibu kuwa...huwezi jibu swali la kitoto kana kwamba hujui kuwa siyo single mom wote hupenda kuwa na mtoto kabla ya ndoa...hudanganywa na wanaowaamini....mlidanganywa na mliye mwamini.....haya ni maisha bro...nikipigwa na hili utapigwa na lile
Ndio nini hii tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waachieni mambo yao hao, hiyo ishu imekaa vibaya, mnatafuta lawama ku shauri shauri
 
Kuna siku ulinijibu kuwa...huwezi jibu swali la kitoto kana kwamba hujui kuwa siyo single mom wote hupenda kuwa na mtoto kabla ya ndoa...hudanganywa na wanaowaamini....mlidanganywa na mliye mwamini.....haya ni maisha bro...nikipigwa na hili utapigwa na lile
Sawa
 
Back
Top Bottom