Changamoto za uke wenza

Ndo maana natumiaga neno 'walio wengi' sijawahi sema wote Hornet

Na hata kwa wanaume siyo wote rijali, kuna wenye nguvu za kuvizia
 
Hawa bana tuishi nao hivo hivo walivyo hakuna namna maana ni wake zetu, dada zatu, mama zetu etc
 
Nipo na pop corn hapa napitia comment moja hadi nyingine
 
Mtazamo wangu, ili uweze ukewenza,
-Usiwe na wivu, uwe busy na miradi yako kichwa muda wote kinawaka moto katika utafutaji,
-Kama hupendi mambo ya kutiwa tiwa hapo ukewenza utaumudu, zile za kudekezana msg asubuhi mchana na jioni simu masaa manne mnaongea tu mkikata mnatumiana msg ooh nimekumiss hapo shost ukewenza utakua mgumu.

Kiufupi ili mtu amudu ukewenza kwenye lgbt tunamuita Asexual.

Wake za Mtume walikua wanagombana na kuoneana wivu itakua kizazi hiki.
 
Kwanini nitabugi? matunzo unamaanisha nini?
Kwa sasa endelea kufaidi walau matunzo yake, ukipata mbadala safi, tena muoaji.kabisa ndo muache, otherwise utabugi mbaya
 
Haipendezi,ila kwa idadi wanawake ni wengi inabidi wakubali tu uke wenza ili waweze kupata watoto n.k
 
Pole best
 
Kwanini nitabugi? matunzo unamaanisha nini?
Si kuna mahali umesema anakujali, kujaliwa kwa mwanamke mi najua lazima umuhudumie, umpe pesa etc.

Sasa unaweza kumuacha huyo ukaangukia kwa player zaidi, unaambulia kito...bo tu bila chochote, halafu na usione dalili za ndoa
 
Nakuambia hivi nishapitia wanaume wa hivyo shule kamili ninayo kichwani, G wangu ni malaika hakuna kama yeye jasiri haachi asili nakuambia,
Kwa spirit hii, siku ukigundua his dark side ... Sipati picha

Usiseme hukutaadharishwa
 
Naona ndo dakika ya kwanza mpira umeanza, tulia acha kutangaza matokea, hata chenga bado hujapiga, kufunga goli ndo unatakiwa kujifunza mama sabrina
 
Kwenye hela hapana. Hana hela za kunikeep. Kiherehere cha moyo tu ila hela ya kunipa hana.
Si kuna mahali umesema anakujali, kujaliwa kwa mwanamke mi najua lazima umuhudumie, umpe pesa etc.

Sasa unaweza kumuacha huyo ukaangukia kwa player zaidi, unaambulia kito...bo tu bila chochote, halafu na usione dalili za ndoa
 
Ukiwa busy na mambo yako ya kutafta hela mwanaume humuwazi aisee kabisa. Mana mume wa kwanza hela na ubusy mda wa kufikiria huna zaidi ukitaka mtoto. Maana wanaume ni attentions seeker. Mi ubusy ukinipataga sinaga mzuka na mahusiano nahisi baby wangu atakuja Kuwa na rundo by the way wanaume hata wafanyweje hawatulii
 
Mbona huwa wazembe tu nyie. Ukiona unanyimwa ujue performance yako ni low quality
Sijui kama watakuelewa, utasikia ooh mnajiendekeza, wakati ndo uhalisia wa mwanaume rijali
 
Mi namjua mtu yeye anashea mume
1.Aishi kwake na asiishi kwako asiwe karibu na wewe.
2.Lazima zipangwe sheria yaani wiki hii ni ya bi mkubwa na wiki ingine ya bi mdogo.
3.Akiwa kwako unaruhusiwa kumtawala asiwe na mahusiano na mke mwenza mpaka siku ziishe za kwako.
4.Uwe tayari kutokuwa na wivu kwa maana mpo wawili.
5.Uwe mjanja sana tengeneza mali zako pembeni kwa ajili ya kusepa muda wowote.
a)waweza achwa kisa mke mwenza
b)ni akiba kwa maana usitegemee akiongezwa mke mwingine utakuwa unapewa attention.
c)usijirisk kwa sababu kaolewa mwingine .
d)usipende uchawi ni njia kubwa ya kutolewa kwenye ndoa.
Raha ya kuishi na mchepuko wala humuoni akipewa mahanju na mumeo.
Ila mke mwenza hadi unajua hii wiki anapewa yeye mahanju na mumeo yale yote na zaidi.
Presha usiwe nayo kwa maana haupo mwenyewe mpo wawili.
Kwa hivyo raha lazima mupewe wote.
Kuuwana inakujaga pale mume akizidi kumpenda mmoja .
Nanirisk kuwa na nyongeza ya mwanamke kwenye maisha siku zote ni waaribifu wanapenda kuchange.
Wanapenda kujiona wanajua wanachange rules zinakuwa wao ndio wanamanage.
So SIKUSHAURI KUONGEZA JIKO .
BORA MCHEPUKO HUTOMJUA KAMWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…