Changamoto za waafrika waliopo katika diaspora

Changamoto za waafrika waliopo katika diaspora

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Kuna matatizo yanatokea. Na haya matatizo yanawahusu Waafrika kama sisi ambao wapo katika diaspora. Matatizo yao tunapswa kuyaona kwamba ni matatizo yetu.

Na tunapaswa kuona maumivu katika maumivu yao.

Nazungumza kuhusu kashfa inayolipuka kuhusu msanii Puff Daddy, Nabii T. D. Jakes.

Na wengine wengi,Jay Z,Will Smith.

Ni Waafrika wenzetu. Tuwaombee rehema za Mola.

Mambo yenyewe ya ovyo. Siyo mambo ambayo unaweza kuyachunguza kwa kina. Ni mambo ya kutazama tu mara moja kujua jambi gamo linaendelea.
 
Black americans sio ndugu zetu…..
Hollywood wanafanya uchafu mwingi tu so hizo tuhuma zisikushangaze mfano; unaweza kuamini drake ni pedophile kwa vijana wa kiume wadogo? cc( certified boy lover) jibu; hapana, hadi siku TPTB wakichoka kumtumia kama kina R.Kelly, Diddy na T.D jakes
 
Zamu ya kaka wa Michael Jackson ila acheni ujinga ,hata wanaoua watu weusi ni hao weusi.

Tatizo ushamba mwingi ngozi nyeusi ,showoff za kijinga kuna Rapper mkali kama Eminem ila yupo cool kwa vile mzungu ila hawa weusi vurugu mtindo mmoja.
 
Bado hawajakuelewa
Wabongo wana vichwa vizito….
 
Asee tangu nikiwa mdogo hakuna Rapper namkubali kama T.I. achilia mbali flow zake ila napenda mitazamo na mifumo yae ya maisha yupo tofauti saba.
Anaemia zaidi ajazie minyama nifaidike kwa vyovyote vile iwe kwa ubaya au kwa wema mzungumzie unavyomjua nimfaham zaidi.

Refer, Dead & Gone.
 
Back
Top Bottom