Changamoto za waalimu wapya

Changamoto za waalimu wapya

KESHa

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
26
Reaction score
10
Ualimu kama kazi nyingine nikazi inayoitaji uvumilivu kujituma na uwezo wa kukabili maudhi pale yanapokukumba: Lakini ualimu unatia fola hususani ni kwa kua na changamoto nyingi mfano
1:Ugeni na Umbani wa eneo alilopangwa
2:Ushirikina kuwachezea walimu kama kipimo cha kujua udhabiti na uimara wao
3: kutotosheleza kwa ela ya kujikimu wanayopewa na serikari
4:Ubovu wa nyumba za kuishi
5:ukosefu wa vitendea kazi kama madarasa,chaki na vifaa kama hivyo
Nisiende mbali wewe kama wewe ulieajiliwa leo utaweza kuyakabili hayo na mengine??

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom