mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kibonge asiye na chura unamzungumziaje?Mungu bariki sana vibonge. Wako poa sana. Wana upendo wa kutosha, kila saa ni kutabasam tuu, hakuna makelele ya hovyohovyo halafu pia hakuna complications. Atakaeponda vibonge na alaaniwe!
Chura wa kuzidi😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
kibonge sio swala je, ana 🐸🐸🐸🐸
Halafu wapole sana hawana gubu na makelele kama hivi vimbaombao aka roho mkononi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ila yote 9 la kumi, vibonge hawanaga roho mbaya..
Yes 100% [emoji818][emoji818][emoji818]Mungu bariki sana vibonge. Wako poa sana. Wana upendo wa kutosha, kila saa ni kutabasam tuu, hakuna makelele ya hovyohovyo halafu pia hakuna complications.
Atakaeponda vibonge na alaaniwe!
Na kimbaumbau asiye na chura unamzungumziaje?
Mheshimu mkeo kamanda. Yaani unamwongelea hivi maungo yake mitandaoni utafikiri unaongelea changudoa uliyemwokota barabarani. Huyu ni mkeo wa ndoa. Msiri wako. Mwandani wa moyo wako. Mama wa wanao. She deserves better than this [emoji51][emoji51][emoji51]Hapo down town iko safi kabisa tight vizuri sana na moto wa kutosha......sasa kazi iko kwenye kukatika hahahaha
Ahsate kaka kwa tahadhari hio na ushauri mzuriTabu ya vibonge hakipungua sana uzito basi na ule mvuto wao wa mwanzo unapotea kabisaa.
Mwangalie Wema Sepetu unaweza kuelewa fresh.
Tabu ya pili ni kuwa, vibonge hawana swaga mpya, ni rahisi mnoo kuwakinai. Mvuto wao hauongezeki zaidi.
Mwisho ni kuzaa, Kibonge akishazaa tu na kuzeeka kunaanza hapo hapo. Yaani anakuwa mmama, ovyo ovyo, hajitunzi vizuri na akili inahama kabisa!
Ushauri wangu, huyo nenda naye taratibu hivyo hivyo ukimrekebisha bila kushoka, ipo siku mtakuwa fit vizuri tu.
Kwavile hamna anayevutiwa nao au wanaona uvivu kuchepuka?Arafu sio lahisi kuchepuka hiyo ndo sifa yao nyingine
Sasa kama ulimuoa akiwa kibonge na kilo zote hizo ulishindwaje kutafuta suluhisho siku zote kwa miaka 7? Means umeridhika naye alivyo.Ndiyo alikua 105kg kapunguza kilo nne tangu nimuoe