Changamoto za wake vibonge

Changamoto za wake vibonge

Nilidate na binti mnene ana kitambi hivi kimeshuka basi nikiwa namnyonya K kile kitambi kinanifunika kwa juu nakosa pumzi. Yaani nikijifanya sterling nasuffocate kabisa.

Kwahiyo inabidi niwe nakizuia kitambi ili kupata space ya kutosha.

My babe Miss Reneee uwe na body hiyooo hiyoooo
 
Mheshimu mkeo kamanda. Yaani unamwongelea hivi maungo yake mitandaoni utafikiri unaongelea changudoa uliyemwokota barabarani. Huyu ni mkeo wa ndoa. Msiri wako. Mwandani wa moyo wako. Mama wa wanao. She deserves better than this [emoji51][emoji51][emoji51]
Sawa ungekua unamfahamu au unanifahamu nisinge mleta humu mtandao, hi ninjia nyingine ya kupungusa hasira na kero kwake its called "stress management" inasaidie kuboresha ndoa na mahusiano na kupuuza kero zingine, sijamdharirisha kwasababu humjui kaka
 
Mi napendaga mabonge wale wa kwenye X nikimwonaga Marley Xxx,Leather lips,Victoria cakes,Ms Booty Mimi hoi,ila nikikutana wa huku kitaa sinaga mzuka nao kabisa na sijawahi kula demu bonge,labda tu wenye vitambi ndo nlikutana nao kama wawili hivi.
 
Wanatakiwa wawe wasafi wakati wote,wanaviharufu kwenye mikunjo ya nyama zilizolaliana.
Ila watam sana kama unawajulia
 
U wife material ni tabia ya mtu na sio umbile la mtu.

Hakuna mahusiano yoyote kati ya umbile la mtu na tabia njema.

Kwamba mwanamke akiwa model sio wife material ila akinenepa tu akawa bonge anakua wife material?
Majority ya wanawake wembamba ni wakorofi na wasumbufu ukilinganisha na wanene out of my exprience
 
Mheshimu mkeo kamanda. Yaani unamwongelea hivi maungo yake mitandaoni utafikiri unaongelea changudoa uliyemwokota barabarani. Huyu ni mkeo wa ndoa. Msiri wako. Mwandani wa moyo wako. Mama wa wanao. She deserves better than this [emoji51][emoji51][emoji51]
I'd feki hiyo, so hakuna udhalilishaji wowote
 
Habarini za asubuhi, mke wangu ana uzito wa kilo 101, tumekaa katika mahusiano takribani miaka saba, (7) sijui wenzangu wenye wake wenye uzito mkubwa mnapitia experience nayopata au ni wa kwangu tu?

Chang'amoto ya kwanza: Akilala saa nne ni mpaka asubuhi hata hageuki wala kuniamsha ni shida kweli nikiwa na ratiba ya kudamka.

Chang'amoto ya pili: Ni kukoroma akiwa katika usingizi mzito, huwezi kupata usingizi mpaka amalize kukoroma.

Changamoto ya tatu: Akikaa kutizama runinga lazima alalie sofa au anilalie mimi nikiwa karibu nae, ni marufuku kwake kukaa upright kwenye kochi sebuleni.

Changamoto ya nne: Hapendi kula breakfast mapema, anapendelea ale saa tano au sita, alafu hali lunch tena mpaka supper. Anakula milo miwili tu kwa siku.

Changamoto nyingine: Anapendelea missionary style tu (wakubwa mmenielewa) lakini anapenda almost kila siku mchana au asubuhi ila sio usiku wa manane!

Je ni wa kwangu tu au wote wenye unene huo wako hivyo?

Tafadhali karibuni wenye wanene kama wa kwangu tupeane uzoefu na suluhisho la kutatua chang'amoto hizo za wake zetu wapendwa.
Weka picha

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Watu na miili yetu

Kingsmann
IMG_20210214_104705.jpg
 
Back
Top Bottom