Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah... ngoja niongeze ratio ya kitimoto na wine kwa huyu wa kwangu awe kibonge...Mungu bariki sana vibonge. Wako poa sana. Wana upendo wa kutosha, kila saa ni kutabasam tuu, hakuna makelele ya hovyohovyo halafu pia hakuna complications.
Atakaeponda vibonge na alaaniwe!
Inawezekana mleta Uzi ni mhaya labda.Siyo chang'amoto ni changamoto ndiyo maana hatuandiki ngombe tunaandika ng'ombe.
Wa kwako ni nani huyo?Dah... ngoja niongeze ratio ya kitimoto na wine kwa huyu wa kwangu awe kibonge...
Habarini za asubuhi, mke wangu ana uzito wa kilo 101, tumekaa katika mahusiano takribani miaka saba, (7) sijui wenzangu wenye wake wenye uzito mkubwa mnapitia experience nayopata au ni wa kwangu tu?
Changamoto ya kwanza: Akilala saa nne ni mpaka asubuhi hata hageuki wala kuniamsha ni shida kweli nikiwa na ratiba ya kudamka.
Changamoto ya pili: Ni kukoroma akiwa katika usingizi mzito, huwezi kupata usingizi mpaka amalize kukoroma.
Changamoto ya tatu: Akikaa kutizama runinga lazima alalie sofa au anilalie mimi nikiwa karibu nae, ni marufuku kwake kukaa upright kwenye kochi sebuleni.
Changamoto ya nne: Hapendi kula breakfast mapema, anapendelea ale saa tano au sita, alafu hali lunch tena mpaka supper. Anakula milo miwili tu kwa siku.
Changamoto nyingine: Anapendelea missionary style tu (wakubwa mmenielewa) lakini anapenda almost kila siku mchana au asubuhi ila sio usiku wa manane!
Je ni wa kwangu tu au wote wenye unene huo wako hivyo?
Tafadhali karibuni wenye wanene kama wa kwangu tupeane uzoefu na suluhisho la kutatua chang'amoto hizo za wake zetu wapendwa.
una mchepuko??? mwambie apunguze mwili kwa usalama wa afya yakeHabarini za asubuhi, mke wangu ana uzito wa kilo 101, tumekaa katika mahusiano takribani miaka saba, (7) sijui wenzangu wenye wake wenye uzito mkubwa mnapitia experience nayopata au ni wa kwangu tu?
Changamoto ya kwanza: Akilala saa nne ni mpaka asubuhi hata hageuki wala kuniamsha ni shida kweli nikiwa na ratiba ya kudamka.
Changamoto ya pili: Ni kukoroma akiwa katika usingizi mzito, huwezi kupata usingizi mpaka amalize kukoroma.
Changamoto ya tatu: Akikaa kutizama runinga lazima alalie sofa au anilalie mimi nikiwa karibu nae, ni marufuku kwake kukaa upright kwenye kochi sebuleni.
Changamoto ya nne: Hapendi kula breakfast mapema, anapendelea ale saa tano au sita, alafu hali lunch tena mpaka supper. Anakula milo miwili tu kwa siku.
Changamoto nyingine: Anapendelea missionary style tu (wakubwa mmenielewa) lakini anapenda almost kila siku mchana au asubuhi ila sio usiku wa manane!
Je ni wa kwangu tu au wote wenye unene huo wako hivyo?
Tafadhali karibuni wenye wanene kama wa kwangu tupeane uzoefu na suluhisho la kutatua chang'amoto hizo za wake zetu wapendwa.
Mazoezi ni mvivu sana hata kutembea ni shida. Nimesha mnyang’anya gari, ila bado ni shida ile ile
Kunuka je?Habarini za asubuhi, mke wangu ana uzito wa kilo 101, tumekaa katika mahusiano takribani miaka saba, (7) sijui wenzangu wenye wake wenye uzito mkubwa mnapitia experience nayopata au ni wa kwangu tu?
Changamoto ya kwanza: Akilala saa nne ni mpaka asubuhi hata hageuki wala kuniamsha ni shida kweli nikiwa na ratiba ya kudamka.
Changamoto ya pili: Ni kukoroma akiwa katika usingizi mzito, huwezi kupata usingizi mpaka amalize kukoroma.
Changamoto ya tatu: Akikaa kutizama runinga lazima alalie sofa au anilalie mimi nikiwa karibu nae, ni marufuku kwake kukaa upright kwenye kochi sebuleni.
Changamoto ya nne: Hapendi kula breakfast mapema, anapendelea ale saa tano au sita, alafu hali lunch tena mpaka supper. Anakula milo miwili tu kwa siku.
Changamoto nyingine: Anapendelea missionary style tu (wakubwa mmenielewa) lakini anapenda almost kila siku mchana au asubuhi ila sio usiku wa manane!
Je ni wa kwangu tu au wote wenye unene huo wako hivyo?
Tafadhali karibuni wenye wanene kama wa kwangu tupeane uzoefu na suluhisho la kutatua chang'amoto hizo za wake zetu wapendwa.
Hapa JF kila dogo ana gari na maisha, wewe hujui hilo?Mkuu umenunua gari lini?
Juzi tu hapa nilikuwa nakupa lift kwenda kazini