Changamoto za wanawake wanaoweka 'bleach' kichwani

Kyai kya rangi
 
Haya mambo ya kutongoza demu unaleta ghetto unapiga halafu unamuacha achaneni nayo nafuu uwe unapeleka lodge maana nilijuta kwakweli
Kweli kabisa, kama huna mpango na demu malizana nae juu kwa juu maana akikuganda itakupa shida zisizo za lazima kama kuhama unapoishi anu kubadili mawasiliano
 
Wale wanawake wanaofanya kazi kwenye massage Centreโ€™s Je ?

Kuna watu wamejikataa nafsi zao kabisa, Yani hawana cha kupoteza hata kwa lolote likitokea!
 
Umeniudhi unapochanganya kazi na mapenzi, naamini kilimo cha mboga mboga kimekufa kibudu
 
Kama unaona tatizo ni bleach si unatoa hizo bleach shida iko wapi kwani??
 
Ungepigwa kabisa, ungemwambia from the beginning unapita tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ulibondwa pole sana aiseh. Muwe mnatafuta madem wenye akil timamu. Ukiona dem katoboa pua, ana bleach, ametoboa masikio sehem nne au tano, ndugu yangu RUN.
Asante sana lovelovie kwa ushauri
 
Me nina swali hivi ile rangi wakitaka kuitoa kichwani wanafanyaje
Me mwenyewe nilidadis sana then mmoja wapo nlimuliza akasema kuna mafuta huwa wanapaka kutoa iyo rangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ