gracemwakilasa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 538
- 1,281
hawez kujua hata nikikaa na huyu dada miaka 1000
Wanaweza kuwa wamekulia katika shida KUBWA SANA, na possibly walio wengi wao ni yatima. Ukishamuona yuko hivyo, jaribu kumwangalia mtoto wako uliye naye pale nyumbani kwako, halafu imagine kuwa huyo mtoto wako ndiyo huyo house girl! Kama imaginations zako ni za binadamu wa kawaida, kesho yake unaweza ukaanza kumfanyia mpango wa kumepeleka VETA akasome, badala ya kuendelea kumfanya awe house girl. Unajua nini, sisi binadamu tutaendelea kupata shida mpaka Yesu atakaporudi kwa sababu katika mambo yaliyo mengi, huwa hatuhurumiani na huwa tunapenda kwa mipaka. Unakuta mtu anapenda watu wa nyumbani kwake tu au watoto wake tu halafu huku kwingine anaona takataka tu. Sasa kila mtu akiwa ana roho hiyo, howa are going to sail with all the silly storms around us?Hakuna kipindi kigumu kama kuanza kuishi na beki tatu aisee kuna vitu vingi vya kushangaza..tulipata beki tatu toka Iringa picha linaanza tulimwambia apike Uji aisee tutakuta kaweza Chumvi
Kuna siku tukamtuma sokoni tukamuandikia mahitaji ya kununua sasa kumbe hajui kusoma bhana kwenda sokoni akampa jama kikaratasi amsaidie kununua vitu jamaa likamnunulia vitu vichache hela nyingine likasepa nayo, mdada anarudi home vitu havijatimia na hela hanaikabdi asema ukweli hajui kusoma kabisa.
Alafu asilimia 80 wanakuwa kama wana matatizo ya kutokusikia vizuri au sijui huwa wanajifanyisha...?
Katika maisha yako ushawahi shuhudia kituko gani cha beki tatu au mlipata ugumu gani kumtrain beki 3???

Tujadili udhaifuu wakoo bhasi wa kudandia mada zisizokuhusu na kuzivalia njugaa[emoji23]We mtoto sio rizki. Ndio shida za kuishi kwa shemeji zenu walikoolewa dada zenu, mchana kutwa upo nyumbani na dada wa kazi na ndio maana unatunishiana misuli na kujilinganisha nao.
Mi nakushauri tu umuheshimu hata kama ni mshamba maana mwenzio yupo kazini, wewe ni mlowezi. By the way, yule dada yako aliyepewagwa mimba halafu njemba ikasepa ungependa ajadiliwe madhaifu yake namna hii?
Uko sahihi kabisaainferiority complex ndiyo inawafanya waonekane kama wana matatizo ya akili
Hakika mkuu..!! Tuishi nao kama ndugu zetu maana ikimtendea mabaya anaweza mtendea mwanaoWadada wa kazi kutosikia ni mbinu zao za kukwepa mzigo wa kazi, maana kuna muda wanachoka hasa wakikutana na bosi mwenye tabia za kihindi, nilikuwa nakaa mbali na familia kikazi ndani ya miaka mitatu walibadilishwa wadada karibia nane, kila siku napewa mashitaka, nikachoka ikabidi nimwambie wife abadilike tabia ajifunze kuishi na watu na kuwavumilia mapungufu yao.
siku niliyorudi rasmi kukaa na familia pamoja tukafika nyumbani siku moja na house girl mpya. Hivi sasa ana miaka miwili kazini na hana mpango wa kuondoka, nilimsaidia kumjenga kisaikolojia pia mimi ndio nimekuwa mtu wa kati kubalance endapo nitaona hatendewi haki.
Tuwafundishe na kuwavumilia japo wana visa vya kuudhi, kuchekesha na kustaajabisha sana ila ndio wanaotulindia nyumba na kutunza watoto wetu.
mabaharia kama nyie uwa amkosi kwenye nuzi za watu sasa mkuu ulitaka tusikumbushie vituko vya beki tara??!!We mtoto sio rizki. Ndio shida za kuishi kwa shemeji zenu walikoolewa dada zenu, mchana kutwa upo nyumbani na dada wa kazi na ndio maana unatunishiana misuli na kujilinganisha nao.
Mi nakushauri tu umuheshimu hata kama ni mshamba maana mwenzio yupo kazini, wewe ni mlowezi. By the way, yule dada yako aliyepewagwa mimba halafu njemba ikasepa ungependa ajadiliwe madhaifu yake namna hii?
Wife kaongea mpaka kachoka yani Anarudia makosa yale yale kila siku...kila kitu lazima umwambie hawezi jiongeza! Ukikuta wamama wakaidi ndo wanapigaa haoooUkiwa na mtoto/watoto housegirl hakai. Wachache sana wenye roho nzuri na kupenda mtoto. Mimi ndio siwezagi kukaa nao maana pasua kichwa unamuelekeza hivi atafanya siku mbili atarudia yale yale.
Sitaki pressure kwakweli
nazi badala ya kukuna kwenye mbuzi tulikuta anaitwanga kwenye kinu, na pia tulimkuta kamchemsha kuku na manyoa yake eti ili iwe simple wakati wa kumnyonyoa dah
sawa mawazo yako nayaheshimu piaUongo huu
Unachoka kweli. Mie siwezi nimeshazoea kujikalia mwenyewe saivWife kaongea mpaka kachoka yani Anarudia makosa yale yale kila siku...kila kitu lazima umwambie hawezi jiongeza! Ukikuta wamama wakaidi ndo wanapigaa haooo
hili muhimu sana hasa kupima ngoma.Hamkumfanyia interview?
Ukipata dada wa kazi kwanza mpe mkataba wake wa kazi ausome. Akimaliza kusoma muulize alichoelewa kutoka kwenye mkataba kama ameridhia atie signature
Mpe sharti la kupima ngoma. Akiwa mwathirika usimnyanyapae ila mpe off siku za kitengo.
Mada ingekuwa hainihusu usingeiweka kwenye jukwaa huru, ungejadili nyumbani kwako na shemeji yako, ukiileta jukwaani maana yake public inahusika.Tujadili udhaifuu wakoo bhasi wa kudandia mada zisizokuhusu na kuzivalia njugaa[emoji23]