Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

Huyo km alivyokuwaga wangu, basi siku moja beki tatu akaugua na mtoto ndio alishazoea mgongo. Yaan mbona nilipoma, alivyopona nikamwambia acha kbs hiyo tabia.
😀 wakwangu alikuwa ana beba mtoto mgogoni hamshushi analala anaamka bado kawekwa mgogoni alf yeye anaongea tu na simu hana habr kabs mtoto alizoea mgogo jaman alaf anauita njiimu anasema hatak usumbufu mtoto ni mgogoni tu akishushwa ni kula tu anarudishwa kwenye njiimu
 
Back
Top Bottom