Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

Hahaahh kwetu walikuwa wawili...wakiume na wakike
Tatizo la wa kike ni mchafu sana anaweza akafululiza siku tatu bila kuoga na muda wote kajifunga kanga moja,huyu nilikuwa nikirudi nyumbani likizo namuachia kazi zote ila kupika napika mwenyewe mana nilikuwa naonea kinyaa hata chakula chake

Wa kiume alikuwa muongo halafu mdokozi asee! Unaweza kukuta kitu kipo ndani kwake kabisa lakini anasema sio yeye aliyechukua na hajui kimefikaje ndani kwake
Alikuja akampa mimba msichana mwingine huko akaomba amlete nyumbani kwetu aishi nae [emoji38][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
[emoji75] Kweli mabeki3 vituko sana, alafu akili zao hufanana...

Nachokumbuka nikiwa secondary, beki3 wetu alikuwa akifika usiku anavaa khanga tu alafu anakuja sebuleni kucheki tv.
Sasa siku iyo naona alichoka sana si akalala bwana alafu analala ovyo bhs bibi yuleee

Nusu nimrukie ila nikawa namvesha vizuri khanga yake maana bimkubwa alikuwa hajarudi kazini....[emoji81]
Teh teh teh hii mada ina vituko
 
Huyu wangu alieondoka amejuaga kunipa mitihani.
Alikua hajui kuandika
Anampiga mtoto mpaka anamuachia alama na mimi mwanangu ni mweupe sana ukimfinya lazima nione
Unaweza ukamtuma akakuambia siendi
Unaweza mtuma maji akaleta soda
Ukimuuliza kitu hajibu
Nikirudi nyumbani namkuta kajipamba balaa sijui anajipamba kwa ajili ya nani
Siku anaweza akaamua akalala chini ya uvungu wa kitanda.

Nahisi pia alikua na matatizo ya akili
3 😀 😀 😀 😀 😀
 
Anachemsha maziwa kwenye jiko la gesi halafu yye anaendelea na kazi zingine kuja kustuka nusu ya maziwa imemwagika.

Yaani huyu wangu changamoto zake ni kwenye jiko la gesi tu ana matumizi yasiyo sahihi.

Nunua mkaa atumie
 
Nilipata mwingine alikua ananuka jasho jamani.
Nilikua siwezi hata kukaribisha rafiki zangu nyumbani naona aibu kunavyonuka.
Nikirudi kazini nakaa chumbani tu ila sasa nawaza mwanangu na ile harufu.
Siku nikamuuliza unasikia hii harufu akasema ndio dada, nikamwambia unajua una tatizo la kunuka jasho akasema anajua.
Basi nikamtafutia tiba. Siku 3 tu harufu ikakaata. Kakaa mwenzi kaacha kunuka jasho akaenda kuolewa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sijawahi kukutana na jasho kama lile

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulimpa deodorant?
 
Kuna mmoja alikua bek 3 wa anti..daah yani alikua anasinzia kila muda..hasa kipindi cha ibada yani usingizi mpka anakoroma...ila baada ya ibada akianza kuangalia tamthilia zile za kihindi...hahaaa hiyo ni mpka sa9 usiku yupo macho..

Ila kwenye kutosikia vzr nadhani ndio ulemavu wa mabeki tatu wote tz nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nadhani usiku kucha anakesha unadhani kwanini mchana asilale
 
😀 wakwangu alikuwa ana beba mtoto mgogoni hamshushi analala anaamka bado kawekwa mgogoni alf yeye anaongea tu na simu hana habr kabs mtoto alizoea mgogo jaman alaf anauita njiimu anasema hatak usumbufu mtoto ni mgogoni tu akishushwa ni kula tu anarudishwa kwenye njiimu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kazi zakee anafanyaje [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulikua na beki3 siku vikimpanda hafanyi chochote anaenda kukaa nyuma ya nyumba akiamua kulia analia weeh alafu Ni eneo la wapita njia.

Mmoja alipataga bwana tusipokuwepo home anamuingiza ndani wanalala..anampikia na bado anamfungashia vikorokoro vya kwenda kula kwake.

Huyo mmoja ndiyo alikua ananiachaga hoi ukimtuma anapitia kwa bwana ake anakaa huko hata masaa matatu akirudi mawili atununie au alale.
 
😀 wakwangu alikuwa ana beba mtoto mgogoni hamshushi analala anaamka bado kawekwa mgogoni alf yeye anaongea tu na simu hana habr kabs mtoto alizoea mgogo jaman alaf anauita njiimu anasema hatak usumbufu mtoto ni mgogoni tu akishushwa ni kula tu anarudishwa kwenye njiimu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] njiimu
 
Kuna aliyeondoka ameiba vitu kibao, alisahau kuwa katika stori siku za kwanza alishasema mpaka kijiji anachotoka.

Tulikwenda na polisi kijijini kwao, katika kusearch tulikuta ameiba picha za hubby amezipamba ukutani chumbani kwake.[emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mada ingekuwa hainihusu usingeiweka kwenye jukwaa huru, ungejadili nyumbani kwako na shemeji yako, ukiileta jukwaani maana yake public inahusika.

Nia yangu wewe na wenzio mbadili mtazamo na mjifunze kuheshimu watu wengine. Dada wa kazi ni binadamu tu kama wewe, anapaswa kuheshimiwa. Kumjadili madhaifu yake as if hayo madhaifu binadamu wengine hawana ni spesho tu kwa dada wa kazi huo ni ujinga.

Mtu yeyote anayetoka kijijini akifika mjini akakutana na vitu vipya, na mazingira mapya lazima atastruggle. Sasa kumfanya kituko ni dalili ya umaskini wa fikra, yaani unaamini wewe ni superior kwa yeye kuwa inferior. Huo ndio 'uhindi' na ndio mnachojadili hapa mkipongezana to the extent mwenzenu mmoja amethubutu kufikia kusema yeye wa kwake kituko chake ni KUKAA KWENYE MAKOCHI NA KULA PAMOJA DINNING kwa maana hiyo hastahili kula nao na asikae kwenye makochi? Sasa hapa unajiuliza, mnamzungumzia MBWA au binadamu?!

Sisi sisi tunatokwa mishipa ya koo kuwalaani wazungu kwa ukoloni, tunawalaani waarabu wanaowabagua dada zetu na kuwatesa, lakini majumbani mwetu hizi ndio treatment tunazowapa our own kind. Yaani akale jikoni na sio dinning? So low and selfish. Na unayenishangaza zaidi ni wewe mtoto wa kiume, hizi roho za saluni wanaume hatuna, unapata wapi haya dogo? Juzi ulikuwa mtetezi mzuuuri wa singo maza, leo wewe na singo maza mna team up kuongea mambo yasiyo sahihi juu ya watu wengine kwa kuwa tu hawakubahatika kuwa na shemeji kama wako wakaishia hapo kwa dadako kwa status tofauti na yako? Come oooooon boy, Have mercy for your father...he should be proud of you when you display masculine behaviors dear boy, achana na hii kitu.
Wewe ni mstaarabu mno..hongera kwa hilo
 
Hakuna kipindi kigumu kama kuanza kuishi na beki tatu aisee kuna vitu vingi vya kushangaza..tulipata beki tatu toka Iringa picha linaanza tulimwambia apike Uji aisee tutakuta kaweza Chumvi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji33]
Kuna siku tukamtuma sokoni tukamuandikia mahitaji ya kununua sasa kumbe hajui kusoma bhana kwenda sokoni akampa jama kikaratasi amsaidie kununua vitu jamaa likamnunulia vitu vichache hela nyingine likasepa nayo, mdada anarudi home vitu havijatimia na hela hana[emoji23][emoji23][emoji23] ikabdi asema ukweli hajui kusoma kabisa.

Alafu asilimia 80 wanakuwa kama wana matatizo ya kutokusikia vizuri au sijui huwa wanajifanyisha...?

Katika maisha yako ushawahi shuhudia kituko gani cha beki tatu au mlipata ugumu gani kumtrain beki 3???
All in all nao ni binadam kama wewe, ukiona ana shida unamsaidia na akikosea unamrekebisha bila kejeli!
 
Hakuna kipindi kigumu kama kuanza kuishi na beki tatu aisee kuna vitu vingi vya kushangaza..tulipata beki tatu toka Iringa picha linaanza tulimwambia apike Uji aisee tutakuta kaweza Chumvi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji33]
Kuna siku tukamtuma sokoni tukamuandikia mahitaji ya kununua sasa kumbe hajui kusoma bhana kwenda sokoni akampa jama kikaratasi amsaidie kununua vitu jamaa likamnunulia vitu vichache hela nyingine likasepa nayo, mdada anarudi home vitu havijatimia na hela hana[emoji23][emoji23][emoji23] ikabdi asema ukweli hajui kusoma kabisa.

Alafu asilimia 80 wanakuwa kama wana matatizo ya kutokusikia vizuri au sijui huwa wanajifanyisha...?

Katika maisha yako ushawahi shuhudia kituko gani cha beki tatu au mlipata ugumu gani kumtrain beki 3???
Changamoto nyingine wanakuwaga wana papuchi tamu na za moto kweli!
Ila mimba ni kugusa tu!
 
by that time nilikua napiga wiki5 af wiki 2free au 4 kwa 2
narudi om nkamkuta bek3 mpya alikua hanieshimu nkimwambia kitu hadi wife akazie ndo anafanya
m ni mpole by nature ila kunasiku niliwachenchia wote "nguo zangu hazikutakata af eti wife anamtetea labda alichoka " nilimwita kwa tusi we **** rudia hizi
usiku nkamuuliza we kwenu wapi ilikidin'ga uko "nauli hii apa jiandae kesho safari!!!!


#pia nakumbuka rafiki alioa bek3 ilikua ndo tmeanza kazi sasa ni kijijini mbaya yani 'jamaa akasema anatafuta bek3 palepale kijijini mara baada ya mwezi dem akaamia kota baada ya wiki kadhaa tukatambulishwa shemeji, na jamaa alkua anajitapa awezi kuoa kijijini lkn mwisho ake kaoa bek3 wake
 
Back
Top Bottom