Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Nimekaa na beki tatuz nyingi sana, ila mmoja ndiyo namkumbuka sana!!
Alikuwa Mchawi, tangu aje tulikuwa hatulali maanina ila wazo la kusema ni yeye halikuwepo kabisaa!!
Karaha huwa sipendi! Nikasema ujinga huu mi mwenyewe mchawi zaidi yake ( japo sikujua kama ni yeye) siku hiyo nikafanya yangu, alilia usiku kucha kumuuliza walia nini akajibu sio yeye anatuchezea ila ni bibi yake anakujaga usiku!!
Nikamwambia bibi yako akija usiku leo uniite niongee nae, hakuja na kesho yake akasepa!!
🤣🤣 mkuu una mkwara si mchezo. Sasa bibi mtu ungeongea naye nini?