Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

Nimekaa na beki tatuz nyingi sana, ila mmoja ndiyo namkumbuka sana!!

Alikuwa Mchawi, tangu aje tulikuwa hatulali maanina ila wazo la kusema ni yeye halikuwepo kabisaa!!

Karaha huwa sipendi! Nikasema ujinga huu mi mwenyewe mchawi zaidi yake ( japo sikujua kama ni yeye) siku hiyo nikafanya yangu, alilia usiku kucha kumuuliza walia nini akajibu sio yeye anatuchezea ila ni bibi yake anakujaga usiku!!

Nikamwambia bibi yako akija usiku leo uniite niongee nae, hakuja na kesho yake akasepa!!

🤣🤣 mkuu una mkwara si mchezo. Sasa bibi mtu ungeongea naye nini?
 
Huyu wangu alieondoka amejuaga kunipa mitihani.
Alikua hajui kuandika
Anampiga mtoto mpaka anamuachia alama na mimi mwanangu ni mweupe sana ukimfinya lazima nione
Unaweza ukamtuma akakuambia siendi
Unaweza mtuma maji akaleta soda
Ukimuuliza kitu hajibu
Nikirudi nyumbani namkuta kajipamba balaa sijui anajipamba kwa ajili ya nani
Siku anaweza akaamua akalala chini ya uvungu wa kitanda.

Nahisi pia alikua na matatizo ya akili
Uvunguni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Itakuwa aiseee maana sio kawaidaa.. Kuna mmoja nilimtuma soda akanambia amechoka[emoji23][emoji23][emoji23] Siku nyingine wife yupo ndania akadhani amelala kumbe anamsikia akawa anasema leo chizi yupo nyumbani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji24][emoji24] Duuh yani balaa tupu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Chiz yupo ndan
 
Hahaha
Huyu wangu alieondoka amejuaga kunipa mitihani.
Alikua hajui kuandika
Anampiga mtoto mpaka anamuachia alama na mimi mwanangu ni mweupe sana ukimfinya lazima nione
Unaweza ukamtuma akakuambia siendi
Unaweza mtuma maji akaleta soda
Ukimuuliza kitu hajibu
Nikirudi nyumbani namkuta kajipamba balaa sijui anajipamba kwa ajili ya nani
Siku anaweza akaamua akalala chini ya uvungu wa kitanda.

Nahisi pia alikua na matatizo ya akili
 
Hahahahahshshs
Itakuwa aiseee maana sio kawaidaa.. Kuna mmoja nilimtuma soda akanambia amechoka[emoji23][emoji23][emoji23] Siku nyingine wife yupo ndania akadhani amelala kumbe anamsikia akawa anasema leo chizi yupo nyumbani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji24][emoji24] Duuh yani balaa tupu
 
Jamani kwa hiyo best hivyo visa mpaka.vya uchawi kuweka chunvi kwenye uji na kadhalika MTU asipokaauda mrefu na H/G achunguzwe Roho yake??japo ni kweli kuna maboss wana roho nzito ila sio kila Bosi asipokaa muda na mdada basi achunguzwe.Je Wewe hujawai pata vimbwanga vyao hata kidogo?
Wewe ushapata vimbwanga vyao?
 
ukikaa na house girl muelewe tu tabia zake. Akiwa anakula sana jua chakula chako ni ni kitamu na akizoea ataacha.

Kuna mmoja tulimkuta anakaanga mayai sita saa nane usiku. Ni harufu ndiyo ilituamsha
Duh ! Una moyo we dada
 
kibaya kuliko vyote upate house girl machawi nyie mliomuajiri ndio mtakuwa mnafanya kazi zake
 
Wala si chai, kuna mambo nilipewa na Ustaadh mmoja hivi akanambia mbaya lazima atajulikana! Simple, so nilikuwa najua nachofanya mkuu!

Sikulala sababu ya woga, hivi angekuja ningemfanyaje kwa mfano! Ila nilijiamini sasbabu ya kuona effects za awali za dawa ya huyo Ustaadh!!
 
Nimesoma maoni ya wadau wanawafanya wafanyakazi wa ndani kama katuni ila jua na yeye ni binadamu kama ww utakufa na yy pia atakufa tumali twa dunia tusikufanye kuvua utu wa binadamu mwenzako ombi kama ni mzazi usije ruhusa mwanao kuwa beki3
 
Katika watu ambao nimeishi nao vizuri ni wadada wa kazi..nimekaa nao karibia 6 na sijawahi kuona tatizo lolote.
Labda pia na nyie kuna sehemu mnakosea kwa wale ambao mnadharaulika na wadada wa kazi.
 
Katika watu ambao nimeishi nao vizuri ni wadada wa kazi..nimekaa nao karibia 6 na sijawahi kuona tatizo lolote.
Labda pia na nyie kuna sehemu mnakosea kwa wale ambao mnadharaulika na wadada wa kazi.
Hongera kama hujawahi kumla hata mmoja mkuu[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Huyu wangu alieondoka amejuaga kunipa mitihani.
Alikua hajui kuandika
Anampiga mtoto mpaka anamuachia alama na mimi mwanangu ni mweupe sana ukimfinya lazima nione
Unaweza ukamtuma akakuambia siendi
Unaweza mtuma maji akaleta soda
Ukimuuliza kitu hajibu
Nikirudi nyumbani namkuta kajipamba balaa sijui anajipamba kwa ajili ya nani
Siku anaweza akaamua akalala chini ya uvungu wa kitanda.

Nahisi pia alikua na matatizo ya akili
du huyo,alipitiliza kidogo kwenye sifa za beki 3,analala mvunguni?
 
Back
Top Bottom